Search

172 results for Peter Akaro :

  1. PRIME Nyuma ya pazia Diamond kushuka shoo za kimataifa

    Mwimbaji wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, Diamond Platnumz anaonekana kuzidi kupunguza shoo za kimataifa kadiri miaka inavyozidi kusonga mbele licha ya kila mara kutangaza thamani yake kupanda...

  2. Harmonize na Poshy Queen ni suala la muda tu!

    Kutokana na historia ya Harmonize katika ulimwengu wa mapenzi, kuna mambo ambayo kuna uwezekano mkubwa yakaja kumkuta mpenzi wake wa sasa Poshy Queen ambaye walitangaza kuwa pamoja hapo Januari.

  3. Huyu ndiye Gardner G Habash ‘Kapteni’ wa Jahazi la Clouds

    Gardner ambaye ni baba mzazi wa msanii wa Bongofleva, Malkia Karen, hadi anaugua alikuwa bado anatangaza kipindi cha Jahazi.

  4. Rihanna anataka mtoto wa kike

    Staa wa Pop duniani na mshindi mara tisa wa Grammy, Rihanna ambaye ni mama wa watoto wawili wa kiume, amesema angetamani kupata watoto zaidi ila kiu yake sasa ni kupata mtoto wa kike.

  5. Zuchu kuendeleza ubabe TMA na kumtikisa Diamond?

    Ndilo swali la wengi kwa Zuchu baada ya Baraza la Sanaa Taifa (Basata), kutangaza kuwa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2023/24 zitafanyika Juni 15 mwaka huu, huku kwa mara kwanza zikirushwa...

  6. Siku 1,460 za Queen Darleen nje ya studio

    Mwimbaji wa Bongo Fleva na ‘First Lady’ wa WCB Wasafi, Queen Darleen rasmi ametimiza miaka minne sawa na siku 1,460 akiwa nje ya Bongo Fleva kitu ambacho ni mara ya kwanza kuonekana kwa wasanii...

  7. Taylor Swift awapigia saluti mashabiki wake

    Mwimbaji wa Pop Marekani, Taylor Swift, 34, amewashukuru mashabiki wake kwa kumpigia kura na kumwezesha kushinda tuzo ya iHeartRadio Music Awards 2024 kama Msanii Bora wa Mwaka.

  8. Jay Melody anatoa changamoto kubwa tuzo za TMA

    Katika tuzo za muziki Tanzania (TMA) mwaka huu, Jay Melody anawapa changamoto wasanii wenzake katika kipengele cha Wimbo Bora wa Mwaka 2023, ambacho alikishinda msimu uliopitia kupitia wimbo...

  9. Queen Latifah: Afya yangu ni muhimu kuliko kazi yangu 

    Mkongwe wa Hip Hop Marekani, Queen Latifah amesema hawezi kuruhusu maisha yasiyofaa na hatari kwa afya yake haswa linapokuja suala la kazi.

  10. Zuchu ajifunze kwa Yemi Alade

    Tangu mwaka 2022 nyimbo zote za Zuchu zinazotoka ni kete muhimu katika mapambano yake ya kuepuka mtego uliomnasa staa wa Nigeria, Yemi Alade kwenye muziki kwa miaka zaidi ya mitano sasa licha ya...

Page 1 of 18

Next